Contacts lenses

Contacts lenses

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,494
Je eye clinics gani za bongo wanatoa hizo badala ya specs?

Pia zina madhara au kero gani kwa mvaaji?
 
Zinaweza kusababisha coneal ulcer usipofuata masharti. And kama asilimia tano ya wavaaji wanapatwa na matatizoWhy prefering contact lens to specs? au kuna mtu kaambiwa awekewe contact lenses.? Nenda muhimbili ippm ya macho watakuwa na maelezo mazuri zaidi.
 
Zinaweza kusababisha coneal ulcer usipofuata masharti. And kama asilimia tano ya wavaaji wanapatwa na matatizoWhy prefering contact lens to specs? au kuna mtu kaambiwa awekewe contact lenses.? Nenda muhimbili ippm ya macho watakuwa na maelezo mazuri zaidi.

umemjibu vyema Nyalotsi, madhara mengine ni kutokana na mazingira... kwetu vumbi lipo jingi na kutumia contact lens sio adviced kwani vumbe huleta irrotation kwenye macho...
 
Last edited by a moderator:
Hapa dar kuna sehemu mbalimbali wanazotoa hizo inategemea na uwezo(yaani kwenda hospitali ya Serikali au Binafsi)..mfano hapa Muhimbili, Pia Vision plus(msasani), Msimbazi, n.k hutoa huduma hiyo.

Pamoja na majibu mazuri ningependa kuongezea kuwa;

Madhara mengine yatokanayo ya Contact lenses ni

Allergy: Yaani allergic reaction inayotokana na kutumia lenses katika ku_fit in katika macho.(hii ni mara chache)

Macho kuwa makavu: Kwa kawaida macho huwa na tear film, ambayo hutumika kama lubricant..matumizi ya muda mrefu husababisha "ukavu" wa macho, jicho kuwa jekundu(mekundu) na kuwasha.

Infections: Hasa kutikana na negligence katika USAFI wa kutumia contact lenses.

Mengine, kama vile Corneal conditions(ulcers) n.k yamekwisha elezwa hapo juu na Nyalotsi na measkron.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom