Contacts Za Miss World Hizi Hapa

Contacts Za Miss World Hizi Hapa

SITTI ana vigezo vyote vya kushinda MISS WORLD
 
Umri wa Sittti ni miaka 23. mpaka vipimo vya DNA vimethibitisha
 
mi lazma nichome yani alivyonipotezea mda wangu wa kulala halafu wamechakachua pumbaavu
 
SITTI ana vigezo vyote vya kushinda MISS WORLD

Umri wa Sittti ni miaka 23. mpaka vipimo vya DNA vimethibitisha

ndugu yangu laki si pesa I just hope that u ain't gonna change ur id in 30 days time
hata kama sitti atavuliwa taji but u still deserve full payment coz kazi umeifanya...asipovuliwa hakikisha na wewe unakwenda naye mbele huko miss world
u damn stu - pid
 
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi

Wenye roho mbaya, majungu na uswahili ni wale waliompa taji huyu asiye na vigezo na kuwaacha wale ambao walikua navyo.
 
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi

no mdau hatumind sitti kwenda huko majuu.. tunamind kugeuzwa wajinga yeye si alishafika huko ulaya sasa ye mbona hawaachii waliostahili kwenda
speaking of uswahili mwingi I think sitti is full of that uswahili faking things
 
Daaah kuna chuo fulani ndo imekuwa kama upigaji kula tena wa chama kimoja watu wanatuma complaints acha. Hakika watanzania wamechoka yaani hawarudi nyuma. Huyu dada kazi anayo mwaka huu atarudi ulaya tu. Akafie hukohuko..na ikiwa hivi baba yake apati ubunge mwakani ...na mama yake nasikia kumbe naye diwani wa temeke.
 
Back
Top Bottom