Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
SITTI ana vigezo vyote vya kushinda MISS WORLD
Umri wa Sittti ni miaka 23. mpaka vipimo vya DNA vimethibitisha

mi lazma nichome yani alivyonipotezea mda wangu wa kulala halafu wamechakachua pumbaavu
Utaandika na jina langu kwa chini ya barua,nami sikulala mfyuuuuu
kwakweli hapo tunaanzaje kulalamika kww kingredha
Tumeni vielelezo vyote hapo, mwaka juzi kuna miss alipigwa chini kwa kudanganya umri, hii itakuwa fundisho kwa wachumia tumbo wote.
mi lazma nichome yani alivyonipotezea mda wangu wa kulala halafu wamechakachua pumbaavu
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi