Contacts zimefutika kwenye Google account

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
551
Reaction score
895
Habari za mei mosi wakuu

Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts.

Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo
simu sio mpya nimekaa nayo takribani miaka miwili sasa ila hakujawahi tokea kitu kama hicho.

Nawasilisha
 
Endelea kusoma google namna ya ku -back up your contacts mkuu, jamii forum haiwezi kukuambia kila kitu huku Kuna watu wa kishenzi kishenzi wenye tabia za hovyo hovyo. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
nisaide kama wafaham namna ya kurestore contacts
Download BACKUP & RESTORE ALL au RECOVER & BACK UP nenda setting ingia Samsung account nenda Samsung cloud back up data ingia contacts select nenda done hatimaye zitarudi number zako halafu ukifanikiwa nitumie shs. 100,000/= πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
shukran mkuu
 
Una account ngapi za Gmail. Na je unauhakika ulikuwa unasave number kwenye Gmail contacts?

Unaweza kuta uligusa au mtu aligusa bahati mbaya akabadili option ikasoma kusave kwenye simu badala ya kwenye Gmail.
 
Una account ngapi za Gmail. Na je unauhakika ulikuwa unasave number kwenye Gmail contacts?

Unaweza kuta uligusa au mtu aligusa bahati mbaya akabadili option ikasoma kusave kwenye simu badala ya kwenye Gmail.
ninazo kadhaa ila nilisave kwenye moja tu
sema problem solved nimefanikiwa kuzirudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…