Mkuu mnunuaji wa Container ninakushauri kuchukua tahadhari ya hali ya juu hasa unaponunua hizo containers mikononi mwa mtu. Hakikisha mauziano yanasimamiwa na wakili na hakikisha muuzaji ana ORIGINAL OWNERSHIP DOCUMENTS utakuja kunishukuru baadae.