neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,849 Reaction score 2,132 Oct 16, 2024 #1 Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM.
Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Oct 16, 2024 #2 Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa. Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40. Bei za 20Ft ni hizi: Grade A: Tsh 4.5M Grade B: Tsh 4.3M Grade C: Tsh 4M Tupo kurasini DSM Mawasliano : 0625 085 224 -normal &_WhatsApp www.jamiiforums.com
Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa. Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40. Bei za 20Ft ni hizi: Grade A: Tsh 4.5M Grade B: Tsh 4.3M Grade C: Tsh 4M Tupo kurasini DSM Mawasliano : 0625 085 224 -normal &_WhatsApp www.jamiiforums.com