Majira ya baridi msimu uliopita Chelsea waliwapoteza Ivanovic na Mikel…Walikua ni miongoni mwa wachezaji wakongwe waliobaki ndani ya Chelsea kwa wakati ule..Hiyo haikutosha, kufikia mwishoni mwa msimu John Terry nae akaondoka …Hivyo Conte akawa amepoteza watu watatu muhimu katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Chelsea…ivanovic na Terry walau wao walipata nafasi ya kucheza chini ya Conte…Wote tunafahamu umuhimu wa watu kama Terry na Ivanovic ambao kwa namna moja au nyingine hawa wanakuwa viongozi katika changing room
Baada ya kumpoteza Terry Conte aliamua pia kumpoteza Diego Costa..Pale alipomtumia ujumbe wa kumshukuru na kumweleza kuwa hatokuwa katika mipango yake ya msimu ujao(msimu huu)..Unawezaje kumpoteza mtu kama Costa kirahisi hivyo??????..Mtu ambaye ni top scorer wa timu kwa msimu ule????…Mtu ambaye ana pambana kwa ajili ya timu..Naamini pia hii ni miongoni mwa sababu kuu ya kushindwa kufanikiwa kwa Chelsea msimu huu…Aliyekuja kuziba nafasi ya Costa ni Alvaro Morata ambaye mimi tangu anasajiliwa niliandika jinsi nilivyokosa Imani na Alvaro katika huu msimu wake wa kwanza wa EPl..
Pia kuondoka kwa Nemanja Matic…Hii pia ni tatizo kwa Chelsea haswa ukiangalia bakayoko ndie aliyechukua nafasi ya Matic..Jaribu kumwangalia Bakayoko..Anaonekana ameshindwa kabisa kuingia katika staili ya Antonio..Mara nyingi Bakayoko amekuwa akipoteza mipira katikati mwa uwanja ambayo imekuwa na madhara makubwa sana kwa Chelsea..Pia Bakayoko ni mzito mno..Huwa najaribu kuangalia anapo poteza mpira reaction yake inavyokuwa..Jaribu kuangalia mechi kati ya Chelsea na Watford
Sera ya usajili ya timu pia imekuwa tatizo kwa Conte…Tokea majira ya baridi ya msimu wake wa kwanza ndani ya Epl Antonio Conte amekuwa akilalamika mno juu ya usajili…Mwanzoni mwa msimu wa 2016/2017 conte aliwahitaji Alex Sandro na Leonardo Bonucci…Lakini ikashindikana na mwishoni mwa dirisha lile la usajili ikabidi Chelsea wawasajili David Luiz na Marcos Alonso.Pia January 2017 Conte alisikika akisema kuwa klabu inafaham mahitaji yake kama kocha na alikuwa tayari amewaambia bodi ya usajili ya Chelsea juu ya hayo mahitaji lakini mwishowe Chelsea waliishia kumrudisha Nathan Ake na kuendelea kubaki na Kennedy na Charly Musonda ambao Conte alikuwa anafikiria kuwapeleka kwa mkopo
Pia jaribu kuangalia msimu huu..Chelsea walikaribia sana kumsajili Alex Sandro lakini dili likafa mwishoni na chelsea wakawa wamemchukua Zappacosta na Drinkwater..Hapo awali walikuwa wamewachukua Morata,Bakayoko na Rudger..Na dili ya Rose Barkey likafa siku ya mwisho ya usajili…Bodi ya usajili ya Chelsea imekuwa ngumu kufanya usajili haswa kipindi hiki cha Conte…Nadhani ukarabati wa uwanja wa Stamford bridge pia waweza kuwa unachangia suala hili…Pia nilishtushwa sana na taarifa za kuondo kwa Michael Emenalo..Mtu aliiyekuwa ndani ya club kwa miaka kumi
Steve Holland..Huyu jamaa alikuwa mtu muhimu sana kwa makocha wa Chelsea…Anaifaham vizuri EPL hivyo alikuwa akitumika kuweza kuwapa mambo mbali mbali ya Epl kwa benchi jipya la ufundi..Mtu ambaye alikuwa anawaunganisha vizuri wachezaji na benchi jipya la ufundi..Aliondoka Chelsea baada ya msimu uliopita na kwenda kuwa msaidizi wa Garneth Southgate timu ya taifa ya uingereza
Hizo ni baadhi ya sababu za kushindwa kufanya vizuri kwa timu ya conte..Nadhani Chelsea wanatakiwa kumvumilia msimu huu..msimu ujao anaweza kuja na jibui sahihi..Lakini suala la kumvumilia lipo mikononi mwa Tajiri wa kirusi Roman Abramovic ambaye amekuwa hana huruma na makocha pindi wanapofanya vibaya…
DEK sports & entertainment TV