Mutasingwa Wayne
Member
- Jan 20, 2013
- 53
- 34
Sikuwahi kujua kama evolution bado inaendelea na inaweza kushuhudiwa na mwanadamu wa kizazi hicho hicho ila kwa picha hii nimekubali kweli bado ipo
- Ok kama ulikuwa hujui ina maana hakuna mbona upo very dull kichwani, halafu kwani what is wrong na this pics amebunja sheria? I mean ongea kti chenye hoja kwa jamii mkuu mnajaza forums na nonsense I mean muda wote huo si ungeandika something serious kwa jamii duh!! akili bwana keli ni mali sasa unataka kina dada waishi kwa amri zako this is free world kila mtu ana haki ya kujibadilisha as much as they want, kama huwezi haya mambo rudi kwenu vijijini this is downtown na haya ni mambo ya kwaida na yanalipa ndio maana yanafanyika, mnakuja watuwazima mjini unaona sasa mambo madogo kama haya yanakushangaza, hahahahahaha
Le Mutuz
Mambo ya maana ni kule kuandika senseless IG posts na wabebezzz na kudhalilisha wanawake wasio na akili kama wewe kuwaita mitindi?Ungekuwa na akili hata za mtoto ungeweza ku-handle criticism kwa kujibu maswali rahisi unayoulizwa.Leo umegeuka advocate wa mtu mwenye uwezo uliovia kama wako?No wonder none of any person related to you is ready to be associated with you dunderhead kabisa.Hapo wewe cha maana umeandika kipi?
- duh lets say unayosema ni kweli na unani follow kila mahali mpaka huku kutokea IG hahaha ndugu zangu hawakuhusu kama ndugu zako hawanihusu, huna hoja na ninaona nitakupa ujiko wa bure so sitakujibu tena hahahahaha ila jifunze kuwa wewe no body hakuna anayekujua, mimi umeona mwenyewe mpaka magazeti sasa ynanigombea kuwa kwenye Cover, tuliza boli hahahahahah U know
Le Mutuz
Nakufollow wapi na wapi wewe mtu mzima mwenye akili isiyojaa hata kijiko cha chai!!Kwenye hii thread umekuja mwenyewe na mikaptura yako.Ati unagombewa?Wewe huyo ugombewe kwa lipi hata ugombewe?Asigombewe Asanterabi au Mr.Prolemsolved waliokuja na vitu vipya vya kurahisisha utendaji kazi ili kuinua pato la watu na taifa kwa ujumla ugombewe wewe unayekimbilia watu kuomba upige nao picha?Uwezo wa akili ulio kwenye familia yako wewe ulikupita kushoto ndo maana ni full utumbo kwenye social media.Akili huna huna na unatumia nguvu nyingi kuonesha kutokuwa kwako na akili kwenye social media.
Amebunja sheria sio?- Ok kama ulikuwa hujui ina maana hakuna mbona upo very dull kichwani, halafu kwani what is wrong na this pics amebunja sheria? I mean ongea kti chenye hoja kwa jamii mkuu mnajaza forums na nonsense I mean muda wote huo si ungeandika something serious kwa jamii duh!! akili bwana keli ni mali sasa unataka kina dada waishi kwa amri zako this is free world kila mtu ana haki ya kujibadilisha as much as they want, kama huwezi haya mambo rudi kwenu vijijini this is downtown na haya ni mambo ya kwaida na yanalipa ndio maana yanafanyika, mnakuja watuwazima mjini unaona sasa mambo madogo kama haya yanakushangaza, hahahahahaha
Le Mutuz
Hivi ni wewe ndio ulikua pale Bungeni ukiomba upigiwe kura za kuwa Mbunge wa Bunge la Africa Mashariki kwa hiki kiswahili ulichoandika hapa??- Ok kama ulikuwa hujui ina maana hakuna mbona upo very dull kichwani, halafu kwani what is wrong na this pics amebunja sheria? I mean ongea kti chenye hoja kwa jamii mkuu mnajaza forums na nonsense I mean muda wote huo si ungeandika something serious kwa jamii duh!! akili bwana keli ni mali sasa unataka kina dada waishi kwa amri zako this is free world kila mtu ana haki ya kujibadilisha as much as they want, kama huwezi haya mambo rudi kwenu vijijini this is downtown na haya ni mambo ya kwaida na yanalipa ndio maana yanafanyika, mnakuja watuwazima mjini unaona sasa mambo madogo kama haya yanakushangaza, hahahahahaha
Le Mutuz
Malizia na hiyo miwani ya Plastic full Chinese!Hilo kopo la soda mbona sio fashion tena na huo mkufu kama kweli vibe wamekutoa nao!!, na wenyewe watakua wanakuchoresha tu bure huo mkufu hata house boy wetu alishaucha siku nyingi
kaka mkubwa, watu wa umri wako wanafanya makubwa sana kuliko hii nonsense unayochekelea, mimi sioni umuhimu wake, naamini unatatizo kidogo.....
- Sasa na wewe si ungeenda huko kwenye makubwa mbona umekuja kujidhalilisha kwenye madogo kama haya? hahahahahahah
Le Mutuz
mimi kwa umri wangu sijajidhalilisha kwakukupa ushauri kama huu, nina makubwa ambayo nayafanya kimyakimya, jamii yangu inafurahia.....
- Sasa unatafuta nini hapa kwenye madogo mbona unajishusha mwenyewe unasema hapa padogo and then unakuja kulia lia hapa hapa unaposema padogo, hahahahaha ona kwanza nimekupa hata ujiko kidogo thread yako inajibiwa bila mimi ungejijibu mwenyewe na ma ID yako hahahahahaha
Le Mutuz
Jifunze kwa wadogo zako kina January kwa nini wanaheshimika hapa mjini...ona sasa mpaka mwigulu kaja juzi tu leo mjini wanadanta wanamuelewa..wewe? ni aibu kubwa.