1.Ezeka kwa bati za kawaida, yaani Corrugated Iron Sheets (CIS).Aidha, tumia bati zenye viwango bora vya utengenezwaji wake. Mathalani, tumia bati zilizotengenezwa kwa madini ya zinc ya kutosha, e.g. mabati ya kampuni ya Alaf Simba Dumu (kwa Tz kidogo imara).Zinc inasaidia sana kuzuia kutu.Nimekuwa nikitamani kujenga hizi nyumba lakini changamoto imekuwa ni kuvuja.
Watu wengi naona wanapata tabu nyumba kuvuja pembeni, katikati na pale bati zinapochoka.
Kwa maeneo ya unyevunyevu kama pwani bati zinachoka ndani ya miaka mitatu tu zinaanza kuvuja. Hii ni kwa sababu Contemporary basi zake hazina slope kali hivyo huhifadhi unyevunyevu na kupelekea kuoza mapema.
Msaada wenu tafadhari.