kwadilo JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 756 Reaction score 898 Jul 24, 2023 #1 Habari wana jamii Poleni kwa majukumu ya kujenga taifa Contena zina ukubwa wa 20ft Zina documents zote za umiliki Zipo kwenye hali nzuri Location: chang'ombe Price: 4.3m Mawasiliano: 0656 387577
Habari wana jamii Poleni kwa majukumu ya kujenga taifa Contena zina ukubwa wa 20ft Zina documents zote za umiliki Zipo kwenye hali nzuri Location: chang'ombe Price: 4.3m Mawasiliano: 0656 387577
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jul 25, 2023 #2 Kweli bei rafiki
kwadilo JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 756 Reaction score 898 Jul 25, 2023 Thread starter #3 Karibuni
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Jul 25, 2023 #4 Ebhana eeeeh, ukilipata hili si ndo tayari ni ofisi kabisa. Ila kumbe ni hela ya maana 4.3M. Hamna la low quality kati ya hayo yote unifanyie 2M hivii🤔 Nisamehe, shazoea kudili na wabongo ma Machinga bro. We uza uza likibaki moja likakusumbua, tuongee. kwadilo said: Karibuni Click to expand...
Ebhana eeeeh, ukilipata hili si ndo tayari ni ofisi kabisa. Ila kumbe ni hela ya maana 4.3M. Hamna la low quality kati ya hayo yote unifanyie 2M hivii🤔 Nisamehe, shazoea kudili na wabongo ma Machinga bro. We uza uza likibaki moja likakusumbua, tuongee. kwadilo said: Karibuni Click to expand...