Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing.
Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa keep on trying kila siku kuimprove quality ya video na audio yako.
Software na Apps ambazo unaweza kuanza nazo ni nyingi ila 100% na recommend free version ya Cupcut ambayo inamilikiwa na TikTok.
Ni nyepesi, bure, ina support simu ya aina yoyote ata yenye specifications za chini.
Vitu vya muhimu kufanya kwenye editing:
Kuunganisha video zitoe story nzuri.
Kuongeza audio na sound effects.
Kutoa noise.
Effect kama transition, slo-mo, kuongeza maneno au caption, etc.
Kufanya color grading.
Na mengine mengi.
Unavyozidi kufanya majaribio unakua master wa software.
Asanteni.