Content za kibiashara

Content za kibiashara

Atomic orbital

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
374
Reaction score
484
Habari zenu waungwana
Naomba kufahamu bei ya frame kwa mwezi maeneo muhimu hususani mjini kati kwenye majiji na mikoa inayokuwa kwa kasi
Mwanza
Arusha
Dar es salaam
Tanga
Dodoma
Mbeya

Nawasilisha
 
May Fair Plaza ipo Frame ya kwenda 700$/m. Kwa Kariakoo inategemea ni mtaa gani. Kariakoo value ina-depend Mtaa na Jengo
 
Back
Top Bottom