Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
ShukraniMay Fair Plaza ipo Frame ya kwenda 700$/m. Kwa Kariakoo inategemea ni mtaa gani. Kariakoo value ina-depend Mtaa na Jengo
Ni mjini kati ?Elfu 25000 katavi
Kimara ya chini sana 200k na inategemea na eneo.Hiv maeneo ya kimara frame zinacheza bei gani?
Maeneo ya kibamba je?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app