The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
nchi yenyewe inaongozwa na form four failure!GT
Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza.
Ivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya.
Kwa nini ukachezee hela kwa contents creator kwa sababu tu wataandika habari za kuwasafisha mafisadi wa ccm? Huu ujinga uachwe mara moja.
View attachment 3529998
Yaleyale ya akina Bashe na BRT ya mchongoNjia za upigaji huu
Halafu nazifungulia biashara
Wanamuomba Mama what a jokeYaleyale ya akina Bashe na BRT ya mchongo