Continueing student na loan tuwe wavumilivu:'(

Continueing student na loan tuwe wavumilivu:'(

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
Poleni sana kwa uvumilivu 2nd year mlo kosa miko mwaka jana na bado mwaka huu your fate is not known! Being among the victims leo nimejaribu kumwona loan officer wa SUA hapa mjengoni ilikupata kujua nini kinaendelea. Ingawa conversation haikuwa nzuri lakini inaleta hope. Baada ya salamu majibizano yaliku hivi;
OFFICER; sijui nkusaidieje kijana.
MIMI; Yeah nimekuja naomba kujua mchakato wa 2nd year sababu cjaona jina langu popote halafu nackia mchakato wa kuapeal umeanza.
OFFICER; Umesikia kwanani? Au mwenyewe unakiherere kwani umeona kuna cont yeyote amepewa mkopo, nani mtaje!
MIMI; siwajui walioomba so i'm here for my own busness.
OFFICER; tatizo you are jumping into issue! We huwezi kusikia maneno kijiweni then ukapanic, calm down!
MIMI; Yeah that y i'm here in Ur legal office ...;-) .. to get legal updates. So please say some thing if u have a clue.
OFFICE; we tulia tarifa za facebook na kijiwen zicwaendeshe mbio! Appeal bado na hata ukjarib utaambi database error MAJINA YA 2nd Ndo na ya subiri bado wanafinalize so acha kupoteza mda kwa panic .
MiMI; Asante mkuu!!!!
.so jaman let us hope and pry! Nawasilisha
 
nini sababu za uchaleweshaji hiyo mikopo na lini itakuwa tayari ndio majibu sahihi ambayo ningetegemea utapewa.
 
nimesikia sikia eti hayo majina yataachiwa next week,kiukweli maisha bila boom ni magumu hasa kwa watoto wa wakulima!!
 
Back
Top Bottom