Continuing student SUA soma hapa

SirJoaz

Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
93
Reaction score
11
Academic year 2014/2015 will start on 20th October instead of 13rd october
 
Jamani vijana wa chuo cha ufugaji kule mazimbu njooni mwenzenu kawaletea habari njema.
 
Academic year 2014/2015 will start on 20th October instead of 13rd october
Sasa na wewe mkuu huoni kama hii ni aibu? Ama kweli wanasayansi Ki-English siyo chetu kwa kweli, uandishi wa tarehe si tulifundishwa tangu vidudu? Wewe kumbe ulitoka kapa! Sijawahi kuona popote tarehe 13 inaandikwa 13rd (sasa hii utaisomaje?). Eti na wewe unagonga degree, Mulugo tafadhari tusamehe bwana na sisi tulishakusamehe!!
 
ten third.....instead of thirteenth???? am sor
hakuna
aliye
kuwa
perfect
tusameheane bure@2014
 
Hahahahahahahaa!
 
haya toa maoni yako ilitakiwa iweje au wewe ndo mulugo product??? to the best of my knowledge tunatamka hivi ten first 11st,ten second 12nd,ten third 13rd, zinduka jamaa..!
 
haya toa maoni yako ilitakiwa iweje au wewe ndo mulugo product??? to the best of my knowledge tunatamka hivi ten first 11st,ten second 12nd,ten third 13rd, zinduka jamaa..!

Ki-English cha ma'nina hicho! Kwa hiyo ukiendeleza kwenye 14 utasema ten fourth? Pu.mba.vu Mulugo mkubwa wewe!! 13 huwa tunatamka thirteenth of October, 11 tunatamka eleventh of October n.k!! Sisi tulivyofundishwa st, nd na rd zinaanza kutumika tarehe zinapofika 20 na kuendelea! Punguani wahed mkubwa Wewe! Usilazimishe eti kwa vile mbona 21 wanatamka twenty first, kwanini 11 isiwe ten first? Hicho hakipo!!
 
MAMBO Mengi mno bhana!
BUT inawezekanaje ku2mia kisu badala ya panga! c utakiumiza!
 
haha dont get twisted mkuu it's jokes...thumb up!
 
haya toa maoni yako ilitakiwa iweje au wewe ndo mulugo product??? to the best of my knowledge tunatamka hivi ten first 11st,ten second 12nd,ten third 13rd, zinduka jamaa..!

kaka kubali umekosea 2 hapo unajiaibisha! ila tumekusamehe kwa kuwa we ni binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…