Continuous Applicant aliepata mkopo 2013/2014

Continuous Applicant aliepata mkopo 2013/2014

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
Jamani kuna continuous applicant yoyote aliyekosa mkopo kwa mwaka jana na akaomba mwaka huu ambae amepata mkopo?...Ama Loan Allocation zilizotoka ni kwa first year peke yake?...nawasilisha
 
Ngoja tusubiri majibu cause na mimi Nina swali hilo hilo.
 
haina haja ya kuwa na presha, kama mtu alirenew/aliomba tena tutapewa tu. Hapa ni kusubri kusign tu tukifungua vyuo. Ila kwa wale ambao hawakupata ndo wanapaswa kufuatilia na kujua.
 
kaka source ni ipi ? maana naona umetupa moyo kishenz yaan
 
Kuna jamaa anaingia mwaka wa 3 wamempa mkopo nimemwangalizia jana.
 
ila wakati wanatangaza walisema kuwa for those ambao ni first time wamewaunganisha form six pamoja na ambao wako tayari vyuoni ila ni kwa mara ya kwanza kuomba/hawakupewa ktk miaka iliyopita.#wamewa group pamoja#source pitia lile tangazo lao heslb.
 
Back
Top Bottom