Jamani kuna continuous applicant yoyote aliyekosa mkopo kwa mwaka jana na akaomba mwaka huu ambae amepata mkopo?...Ama Loan Allocation zilizotoka ni kwa first year peke yake?...nawasilisha
haina haja ya kuwa na presha, kama mtu alirenew/aliomba tena tutapewa tu. Hapa ni kusubri kusign tu tukifungua vyuo. Ila kwa wale ambao hawakupata ndo wanapaswa kufuatilia na kujua.
ila wakati wanatangaza walisema kuwa for those ambao ni first time wamewaunganisha form six pamoja na ambao wako tayari vyuoni ila ni kwa mara ya kwanza kuomba/hawakupewa ktk miaka iliyopita.#wamewa group pamoja#source pitia lile tangazo lao heslb.