Fibonacci
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 377
- 205
Naombeni kujua kama Continuous Assesments (CA's) au maendeleo ya mwanafunzi pindi akiwa shuleni katika upangaji wa mtokeo ya kidato cha nne yanatunika? . Kama ndio, hii kwamba haimanishi wanafunzi wa shule za private hujaziwa alama nzuri (kupendelewa) na shule zao kabla alama hizo haziwasilishwa baraza (NECTA) ili tu, kusaidia wanafunzi hawa kufanya vizuri katika matokeo yao na kusaidia shule(maslahi binafsi) kwa njia isiyo
halali yaani udangayifu. Mwenye kujua hili swala, nahitaji mawazo yako tafadhali
halali yaani udangayifu. Mwenye kujua hili swala, nahitaji mawazo yako tafadhali