Contraceptives

Kama hivyo basi hii ya calendar ww haikufai maana unaweza pata mimba tena. Pia shost kama unataka uje kuzaa tena usijaribu kutumia sindano sio nzuri maana nimewaona watu waliotumia wanaanza kuhangaika baadaye kutafuta mtoto mwingine.
Mie ningekushauri tu kwanza zaa idadi ya watoto unaotaka kwa sasa angalau hata 2, halafu ndio uanze kutumia hizo contraceptive.
 
Pia shost kama unataka uje kuzaa tena usijaribu kutumia sindano sio nzuri maana nimewaona watu waliotumia wanaanza kuhangaika baadaye kutafuta mtoto mwingine
Nashukuru kwa kunijuza kwa hili!!
 
Sorry..kwenda nje kdogo ya topic...ivi vidonge vya kutoa mimba vinafaa kutumika kama mimba ikiwa na umri gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…