Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia kuupload scanned documents ,na pia kuweka expiry date kwa kila mkataba,na itakua inakupa alert kila mara mkataba ukikaribia kuisha.
Lakini pia ,kuna module ya kesi,kwa makampuni yanayohitaji kuhifadhi kumbukumbu za kesi zake na wateja .Basi hii ndio kazi yake.
Nawakaribisha kwa maswali na comments zozote.
Kwa ambayo yuko serious,tunaweza wasiliana kwa ajili ya kuona demo ya jinsi unavyofanya kazi.
Gharama:7million one time license/payment negotiable.