Contract termination imetoka tarehe 24/02. Je nitalipwa mshahara wa mwezi huu?

Contract termination imetoka tarehe 24/02. Je nitalipwa mshahara wa mwezi huu?

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Wakuu habari za saa hizi, ningependa kujua baadhi ya haki zangu kama nimesimamiswa kazi, mfano kikao cha maadili kilika tarehe 4 mwezi wa 2, ila barua ya contract termination ikaja tarehe 24/02. Je mwezi huo nitalipwa mshahara? Na pia kwenye termination ya ajira n ikitu gani kama mfanya kazi ni haki yangu kulipwa. Asante
 
Umeshapata msaada? Kama bado, ukija hapa useme historia ya kazi yako kwa ufupi, sababu hasa za wao kukufukuza kazi na kama una nyaraka kama barua ya ajira, malipo nssf, kitambulisho na ukomo uliokuepo wa mkataba wako kabla haujavunjwa tarehe uliyoitaja, ili tujue tunakusaidia vp?
 
Unastahili kulipwa mshahara wa mwezi ambao termination imefanyika.
Kuhusu stahiki zako nyingine unazopaswa kulipwa inategemea sababu za termination....
 
Soma hiyo contract yako itakua imefafanua
 
Back
Top Bottom