Umeshapata msaada? Kama bado, ukija hapa useme historia ya kazi yako kwa ufupi, sababu hasa za wao kukufukuza kazi na kama una nyaraka kama barua ya ajira, malipo nssf, kitambulisho na ukomo uliokuepo wa mkataba wako kabla haujavunjwa tarehe uliyoitaja, ili tujue tunakusaidia vp?