Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Hus, hope you are fine...... Contract huwa ina terms and conditions, kwahiyo those terms and conditions are what is legally binding, so if you will put a clause that if I want to get out of a contract then A, B, C, D..... then hayo ndio yatakuwa makubaliano yenu. Kwahiyo terms and Conditions are what is important. Unaweza ukaweka clause kwamba iwapo mmoja wenu hatapenda tena kuendelea na contract labda atamwambia mwenzake two months kabla etc
ahsante voice.
Vipi kwa yule ambaye alishaaccept terms and conditions na akasign hiyo contract na hakukuwa na clause yoyote itakayoelezea kuvunja contract; katikati ya safari akaona he/she is not satisfied may be the other party is not acting according to what they have agreed before. Can he/she move out of hiyo contract au ni lazima aendelee hivyo hivyo sababu alishakubaliana na terms and conditions tangu mwanzo?