Contract

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
Hellow every1.
I want to enter into contract with someone but i need to know what can limit me to move out of that contract incase i want to do so.
 
Habari Hus, hope you are fine...... Contract huwa ina terms and conditions, kwahiyo those terms and conditions are what is legally binding, so if you will put a clause that if I want to get out of a contract then A, B, C, D..... then hayo ndio yatakuwa makubaliano yenu. Kwahiyo terms and Conditions are what is important. Unaweza ukaweka clause kwamba iwapo mmoja wenu hatapenda tena kuendelea na contract labda atamwambia mwenzake two months kabla etc
 

ahsante voice.
Vipi kwa yule ambaye alishaaccept terms and conditions na akasign hiyo contract na hakukuwa na clause yoyote itakayoelezea kuvunja contract; katikati ya safari akaona he/she is not satisfied may be the other party is not acting according to what they have agreed before. Can he/she move out of hiyo contract au ni lazima aendelee hivyo hivyo sababu alishakubaliana na terms and conditions tangu mwanzo?
 

hiyo kwenye bold ni sababu tosha ya kuvunja mkataba, nashauri kabla hamjapelekana kwenye sheria, muone uongee nae na kumwabia kwamba "afanyi kama mlivyokubaliana mwanzo na wewe unataka kuvunja mkataba", usikie atasemaje jibu atakalokupa ndio utakapoanzia.
 
yes to VOR. any good contract must leave open the rooms for review and renegotiations
 
Lakini kuna vitu vingi unatakiwa kuviangalia ktk contract kama terms, breach of k, incapacity, nk
 
yes to VOR. any good contract must leave open the rooms for review and renegotiations

ni kweli miss ila mtu kama anataka akuingize chaka hatoacha nafasi ya wewe kuweza kurenegotiate katika hiyo contract.
Umakini muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…