smak786110
Member
- Jan 24, 2008
- 90
- 4
Ungeuliza magazines za udaku ungejibiwa haraka haraka tena kwa list ndefu ya magazines. Hata hivyo, Mkuu, fanya subira, wajuzi katika fani hiyo watakujibu. Hapa nilikuwa najaribu kukupa company tu. Mimi ni mbumbumbu katika hilo.yakkhheee ... vipii yakkheee.. no one reply ?
Apart from the one above, the Institute of Engineers Tanzania, publishes the following Journal;
The Tanzania Engineer a published once every four month,
I am told there is another one coming out in April to be published by IET again called "Engineering News "