Control box

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,005
Wadau habari za leo, nina hitaji kununua control box ya 'excavator mashine' aina ya volvo - PC220. Wadau naombeni ushauri haswa ni wapi nitaipata iliyo imara, sababu hapa nchini kwetu bidhaa tunauziwa feki. NATANGULIZA SHUKRANI KWA WADAU.
 
nenda NYERERE ROAD ukipita vingunguti tu kuna dealer wa VOLVO anadeal na malori na heavy machines.
 
Wadau habari za leo, nina hitaji kununua control box ya 'excavator mashine' aina ya volvo - PC220. Wadau naombeni ushauri haswa ni wapi nitaipata iliyo imara, sababu hapa nchini kwetu bidhaa tunauziwa feki. NATANGULIZA SHUKRANI KWA WADAU.

Mkuu hakuna volvo PC220 hiyo ni code ya komatsu excavatots labda ulimaanisha EC220
 
Hawa ma dealers wanazingua mno na bei zao huwa hazifai, na wakati mwingine spea zao zinakuwa na ubora mdogo!

Kuna spea niliulizia kwa dealers wa C..TAP..AR, wakaniambia ni 4.9m + VAT, lakini nilipo agiza mwenyewe kutoka china...via alibaba...hakufika 1m hadi naishika mkononi....so, unaweza ukaona tofauti!

Jaribu kuendelea kutafuta kwenye mitandao....au wasiliana na huyu bwana MOSES MNDEME, yupo SWEDEN...yeye ana deal na kuwaagizia watu hapa TZ haya ma'heavy equipement, malory, gari ndogo na hata spea! HAna konakona....atakusaidia tu!
+467 071 455 17
+467 349 318 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…