Controversial Masaki plot declared open space

I think, if wananchi will say no, they can stop anything but also they can do as they did in Hanang by the govt repossessing the land and will thereafter give to those called "investors" who they can't even invets in clearing virgin land!!!
 

Kalamu(pen) tu ndugu yangu inaweza kuangusha mlima si lazima ubebe bango kama zamani, enzi hizo wakoloni walikuwa wanakuja kwenye nchi zetu kununua watumwa lakini siku hizi wanaweza kukununua wakiwa huko huko kwao nafikiri umenielewa kwa hiyo JF si lazima uione kwenye hizo plot na mabango
 
Halafu watu wapo wanasema JF watu mnapoteza muda na uharakati wa kompyuta! Red Cross imechangiwa zaidi ya milioni 120 kwa harakati hizi hizi.. mnaulizwa mmeifanyia nini nchi yenu?

MM kazi unayofanya ni kubwa sana kwa jamii na mafisadi wengi hawapendi kwani kalamu yako inawaumbua!! Kuna tatizo moja jingine la viwanja pale Jangwani beach; bwana mmoja nadhani alikomba zile hela za EPA amejenga nyumba kwenye CREATED PLOT NO.403 ambayo amediliki kuziba barabara ya mtaa MZIMA!! Barabara iliyozibwa iko kati ya hicho kiwanja Jangwani Beach plot No. 403 na 402. Juhudi za jirani wa pale kutaka huyu bwana afungue hiyo barabara zimegonga mwamba kwani mhusika inasemekana ametembeza VIJISENTI kwa wahusika pale Kinondoni na wizarani!! Tufanyenini ili tuwasaidie wahusika wa eneo hili zuri linalotaka kuharibiwa na walafi wachache?
 

wahindi?tena wasiishiwe kuporwa tu wauwawe kabisa.mbona sisi hatuendi kutaka ardhi kwao India
 

Bulesi.. naomba contact za wahusika na hili tuliangalie.. la maana nataka picha kwanza.. nitumieni kwenye email ya jf..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…