Kwa ambaye atakuwa amemuelewa , ningeomba anifundisheLet me teach you how to cook Spaghetti (Macroni) Mixed with Eggs.
Warm the water.
Heat the sauce pan, put in cooking oil (the amount depends on the quantity of Spaghetti your cooking).
Slice one clove of onions and tomatoes and put them in oil.
fry until the paste forms and after add species and seasonings.
Add spaghetti and the warm water.
When the spaghetti is ready, and all the water has been boiled out. Add eggs and stir until ready.
Serve hot.
Kuna mchanganyo katika haya maelezo! Ninadhani:
Hatua ya kwanza ni kuchemsha maji yakishachemka, weka kiasi cha spagheti kulingana na mahitaji
Kaanga vitunguu na nyanya mpaka upate mchuzi mzito, ongezea viungo vingine kadri ya mahitaji (black pepper etc...)
Spagheti ikishakuwa tayari unaweza kuchuja maji na kuchanganya na sauce yako na ongeza vikiwa bado vya moto, ongeza mayai ambayo utakuwa tayari umeshayakoroga na koroga mpaka yai liive na mchanganyiko kuwa tayari.
Kimsingi yai linaivishwa na lile joto, kwa hiyo hakuna haja ya kuweka kwenye moto.
Usije ukasahau kuweka chumvi, labda kama sio mtumiaji wa chumvi
Ndivyo nilivyomwelewa, japo hakueleweka katika maelezo yake.
It works just fine try it!!!wel nimemuelewa mtoa mada na wewe pia, lakini najiuliza kama hapo kwenye red-bold alimaanisha hivyo kwamba yai likichanganywa mchanganyiko usiwekwe tena kwenye moto kuivisha yai? nina shaka kama yai lisipowekwa kwenyhe moto kidogo halitaifa kwa hiyo likiwa bichibichi kwenye spaghet sijui kama vitalika!
Wabongo man visa, kasomeni English British council. Mbona inasomeka vizuri tu. tatizo la English za kukariri.Let me teach you how to cook Spaghetti (Macroni) Mixed with Eggs.
Warm the water.
Heat the sauce pan, put in cooking oil (the amount depends on the quantity of Spaghetti your cooking).
Slice one clove of onions and tomatoes and put them in oil.
fry until the paste forms and after add species and seasonings.
Add spaghetti and the warm water.
When the spaghetti is ready, and all the water has been boiled out. Add eggs and stir until ready.
Serve hot.
Wabongo man visa, kasomeni English British council. Mbona inasomeka vizuri tu. tatizo la English za kukariri.
It works just fine try it!!!
aliyekuambia zilipendwa kakudanganya....hakuwa na hela hata ya kufanyia test ya level yake ya lugha.eh hivi kumbe hadi leo bado watu wanaendaga kusoma english british council??? duh yaelekea kijana ndio kwanza kamaliza shule yuko kwa mjomba dar anasubiri kupelekwa british council kupigwa msasa wa wiki chache wa kizungu! kaaaazi kwelikweli... I thought ni zilipendwa kumbe bado zinaexist loh:smile: