Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Oct 6, 2026 #1 Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.