Messi astafu kwa amani sasa, hatumdai chochoteArgentina mabingwa tena
Hongera kwetu sote, Huku spain huku Argentina Sasa hii ndio inaitwa blue MondayFT. 1-0.
Argentina crown champions again.
Wanabeba ubingwa mara mbili mfululizo.
Hongera kwa argetna. Hongera kwa captain Leonel Messi.
KabisaMessi astafu kwa amani sasa, hatumdai chochote
wapo vizuriHawa Argentina unaweza kucheza nao kwa dakika 200 na usipate goli
πππππ
Huyu Jamaa sijui amekumbwa na nini??Mchezaji bora wa mashindano ni James Rodriguez