Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 51
Mkuu, mimi nilitegemea. Walianza kwa kusuasua katika hatua ya makundi, sare 2 na ushindi 1. Tukumbuke maneno ya pele kwamba messi si lolote si chochote. Ana kipaji ila hatakuja kufikia heshima waliyopata akina pele, maradona, maldini na hata wachezaji wa karibuni kama zidane, ronaldo, ronadinho n.k

Sijaona la maana uliloandika mkuu. Kama unamaanisha barca ndo bora na si messi, basi tupo pamojaTofautisha kati ya mchezaji bora na timu bora.Messsi ni mchezaji bora Barce lakini aregtina si timu bora.Arsenal haina wachezaji bora sana lakini ni timu bora Chelsea, Real madrid ni timu ni timu zina wachezaji bora lakini si timu bora kama manchester united.
Sijaona la maana uliloandika mkuu. Kama unamaanisha barca ndo bora na si messi, basi tupo pamoja
Ngoja tuone na brazil leo itakuwaje..
wamekusa penalti zote nao pia wameagaNgoja tuone na brazil leo itakuwaje..
Messi achukue uraia wa Spain acheze na kina Xavi na Iniesta.