Copa America Brazil vs Argentina leo usiku

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Wakuu nataka kujua kwa saa za kibongo ni saa ngapi? Make nataka niushuhudie.
 
"I feel it ... I'm not what I was. I feel more and more tired match after match, every time a great performance comes out, it expends energy. Maybe the end is near. Days and events have passed."

The end is drawing closer for Messi. 😭
 
Kwa hivyo La Pulga akili yake inataka huku mwili unakataa.

Uzee ni noma, haukwepeki.
 
Reactions: BAK
Hivi kistream kwa kutumia simu na PC kuna tofauti kwenye matumizi ya MB's maana nikitumia PC kifurushi kinawahi kuisha
 
Inategemea unaangalia katika quality ipi. Kama ni HD bando lazima liende faster sana iwe kwa simu au PC but kama ni SD badi litatumika kawaida katka vifaa vyote hivi.
Hivi kistream kwa kutumia simu na PC kuna tofauti kwenye matumizi ya MB's maana nikitumia PC kifurushi kinawahi kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…