Copa amerika,brazil wapo ful mzuka

Copa amerika,brazil wapo ful mzuka

Tolowski

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
122
Reaction score
20
Nipo mitaa flan ndani ya mliman city nacheki gemu ya brazil and venezuela,gemu ndo imeanza! Brazil wapo ful nondo cesar,alves,neymar,robinho,pato,ganzo....! Huyu mtoto neymar mkali sana kibongo bongo namfananisha na haruna moshi boban! Mtaani symbion power washafanya mambo yao!
 
Back
Top Bottom