Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Tv gani inaonyeshaNdugu zangu leo hii watani wa jadi wanakutana, ni mechi kali balaa baina ya BOCA JUNIORS AND RIVER PLATE..COPA LIBETADORES FINAL...Itapigwa saa tano kamili usiku kwa saa za afrika mashariki.
I'M BOCA LABOMBONERA__Wewe je?
Samahani mkuu,, ni kesho itapigwa saa 4 kamili za usiku..Tv gani inaonyesha