acha kutetea ujingaKwani inakatazwa?? Acha wivu!!
Ngapi hajakopi na kupaste? Mbona hata kiba anafanya hivyo? Hata 50 cent!! Ninkawaida unless una bifu binafsi.acha kutetea ujinga
Ushauri wa bure kwa Diamond ni kwamba sasa abadilishe producer .Huyu Lizer anazidi kumshusha tu sijui kwanini anamng'ang'ania.Enzi zile akifanya kazi na maproducer wengine mchanganyiko kama ManWalter,Manecky,ShedyClever,NahReel,Lamar,MarcoChali n.k alitengeneza hits zilizosumbua Afrika nzima
Nimeusikiliza huo wimbo "Fire" kiukweli ni too low kwa level zake.
Haja-copy na ku-paste bali amefanya sampling! Sampling itakuwa haramu endapo tu hapakuwa na makubaliano, kwahiyo, kabla hujahukumu unatakiwa kuwa na uhakika kwamba hapakuwa na makubaliano yoyote!Huyu Laizer nae ks copy Na Ku paste beat Na milindimo ya wimbo huu..