Copy and Paste ya Muziki Wa Diamond hii hapa


Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
mbona dj Khaled kacopy maria maria ya santana kwenye nyimbo yake mpya wild thoughts na rihanna.
 
Kwenye l miss you ya diamond..... Angalia video ya NE-YO inaitwa Do you.....kuna vingi vimeibwa toka pale kuanzia mashairi hadi video
 
Duuh kama umekosa cha kuandika si uache tu...sasa majina ya nyimbo mangapi yanajirudia!!
 
Haters ndio wanaiangalia video ya diamond kuliko hata fans wake, inabidi wa view zaidi ya mala kumi kwa siku ili wa notes mapungufu ili waponde unfortunately mondi anaingiza pesa per viewer, haijalishi ni haters au fans
 
Kwenye l miss you ya diamond..... Angalia video ya NE-YO inaitwa Do you.....kuna vingi vimeibwa toka pale kuanzia mashairi hadi video
Video nakubari ila mashairi hapana yanatofautiana kabisa diamond kaimba demu aliondoka kwakua alikuwa kafulia neyo aliimba sababu ya kuondoka ni kwakuwa neyo alikuwa ana mtreat vibaya.
Na wimbo neyo anamuuliza yule dada kama anamkumbuka wakati diamond anamwambia dada kuwa yeye ndiyr anamkumbuka.
 
Oya kesho natoa kichupa mitaa ya coco beach karbun masela pia ukiwa na watoto wakali wastuee ili video iwe tamu. Kama uko fresh nichek maximum watu 25.
 
Wimbo Wa Will You Still Love Me The Same Ulipotoka Na Yeye Akatoa Je Utanipenda. Nkamsikia Akijnad Kwenye Interview Kuwa Ameandika Yeye As If Kaumiza Kichwa! Me Namuona Ni Muandika Mashair Mepesi Yasio Na Sanaa Ndani Yake, Sema Anaijua Biashara Ya Muzik.
 
Hiv nyie mnaotokwa povuu mapuani izo video mbili mmeziona ama tatzo mbs tufungue wi fi ya JF muwe mnaangalia kabla ya kucomment ama mnataka kuongeza views za hyo sijui LL , mond kacopy nn hapo
To Hell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…