Copy iphone 14 pro max ninayo

Copy iphone 14 pro max ninayo

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
 
Ingiza IMEI yake kwenye mfumo wa TCRA. Simu isipotambulika basi itumie kama pambo tu
 
Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Hizo ni android based phones wanaweka skin ya iphone. Usitegemee ifanye kazi kama iphone hata siku moja.
 
Back
Top Bottom