Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Ingiza IMEI yake kwenye mfumo wa TCRA. Simu isipotambulika basi itumie kama pambo tuJana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Hizo ni android based phones wanaweka skin ya iphone. Usitegemee ifanye kazi kama iphone hata siku moja.Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Hizo ni android based phones wanaweka skin ya iphone. Usitegemee ifanye kazi kama iphone hata siku moja.
Hoja yangu kama kunauwezekano wa kuiwezesha kufanya mawasilianoHizo ni android based phones wanaweka skin ya iphone. Usitegemee ifanye kazi kama iphone hata siku moja.
Uliponunua walikuambia haipigi au mlikubaliana kuwa inafanya kazi? Kama mlikubaliana kuwa inafanya kazi basi warudishieHoja yangu kama kunauwezekano wa kuiwezesha kufanya mawasiliano
Imei naambiwa sio sahihiIngiza IMEI yake kwenye mfumo wa TCRA. Simu isipotambulika basi itumie kama pambo tu
Uliponunua waambie wakupe global version itafanya kaziImei naambiwa sio sahihi
Basi haitaweza kupata huduma yoyote kutoka kwa Network provider.Imei naambiwa sio sahihi