⚠️ .*Copy Siri Hii Ya Jinsi Matajiri Wanavyotumia Hatifungani KuTengeneza Pesa Nyingi zaidi Na Wewe Uongeza Kipato Chako 10X Zaidi ....Guaranteed!*

⚠️ .*Copy Siri Hii Ya Jinsi Matajiri Wanavyotumia Hatifungani KuTengeneza Pesa Nyingi zaidi Na Wewe Uongeza Kipato Chako 10X Zaidi ....Guaranteed!*

Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
52
Mwezi wa 5, 2023...

Nilikuwa napitia mahojiano moja ya mjasiriamali bilionea kutoka Lagos, Nigeria, aitwaye:

"Tony Elumelu"

Alikuwa akieleza jinsi anavyotengeneza faida kubwa bila kutumia pesa yake binafsi, badala yake anatumia pesa za Watu wengine!

Na...

Kilichonivutia zaidi ni pale aliposema:

"Matajiri hawatumii pesa zao kutengeneza utajiri, wanatumia pesa za watu wengine (OPM)!"

Nilishtuka!

Nilihisi kama anazungumza na mimi moja kwa moja.

Nilijiuliza, "Inawezekanaje mtu apate mabilioni kwa kutumia pesa za benki bila kuwa na mali nyingi za thamani kama dhamana?"

Lakini baada ya kusikiliza kwa umakini, nikagundua njia wanayoitumia matajiri ambayo watu wa kawaida hawaijui kabisa!

Siri Ipo Kwenye HATIFUNGANI!

Tony Elumelu alifafanua kwamba, matajiri wanatumia hatifungani (Bonds) kama dhamana ya kukopa pesa kutoka benki kwa riba ndogo... kisha wanaitumia hiyo pesa kufanya uwekezaji mkubwa wenye faida kubwa zaidi!

Hii ndiyo sababu matajiri wanaendelea kuwa matajiri—wanajua wapi pesa za bure zinapatikana!

Kwa mfano:

✅ Unanunua hatifungani za serikali za Tshs 50M ambazo zinakupa riba ya 12% kwa mwaka (Tshs 6M kila mwaka).

✅ Unaenda benki na kuweka hizo hatifungani kama dhamana (collateral) ili ukopeshwe Tshs 40M kwa riba ya 7% kwa mwaka (Tshs 2.8M kwa mwaka).

✅ Kumbuka, wewe bado unapata riba ya Tshs 6M kwa mwaka kutoka kwenye hatifungani zako huku ukilipa Tshs 2.8M kama riba ya mkopo!

✅ Hii ina maana unakaa na faida ya bure ya Tshs 3.2M kila mwaka, bila kutumia pesa yako!

Na hicho ndicho benki na matajiri wakubwa wanakifanya kila siku bila watu wa kawaida kujua!

Sasa Jiulize...

Benki zinatumia pesa zako kununua hatifungani na zinapata faida kubwa...

Kwa nini usiwe kama benki?

Badala ya kuweka pesa benki, kwa nini usinunue hatifungani na uzitumie kama dhamana kupata pesa zaidi kwa riba ndogo?

Na Hii ndiyo mbinu wanayotumia matajiri kama Warren Buffett, Aliko Dangote, na Rostam Aziz!

Siri yote iko kwenye:

✅ Kujua ni hatifungani gani zina faida kubwa zaidi

✅ Kujua ni benki zipi zinakubali hatifungani kama dhamana

✅ Kujua ni biashara zipi unaweza kuwekeza hizo pesa na kutengeneza faida kubwa zaidi ya riba ya benki

Na haya yote Ndio utaenda Kujifunza hatua kwa hatua Kupitia TZA FINANCIAL MARKET PACKAGE

Ili Kujiunga Gusa Link hapo chini 👇

TZA FINANCIAL MARKET PACKAGE

See you inside!

Hasta la Vista!

Habakuki Hussen
.
Contact +255676147714
 
Nimepiga mahesabu nikinunua za 50,000 hakuna cha maana nachopata bora nikawekeze kwa kanji
 
Mchoro wa Moto. Big Up,

50Mil faida 6M
40M mkopo rejesho 43..

Kurudisha mkopo miaka 7 .
Mkopo ukirudishwa Mtaji unakua 90 faida inakua 10+M kwa Mwaka.

Pure stable income 🤝
 
Jamaa anataka kutujaza huyu
Hua nachukia sana mfano mtu anakuja na thread nzuri yenye kuelimisha mfano uwekezaji ila maswali yakitokea hayajibiwi na siku zote hua wanatoa link mwishoni
hio link nimeingia nakutana na kitu kizito Cha kutoa 10,000/- ili kupata hio package...nikasema Yale Yale.
 
Back
Top Bottom