Copyright kwa kazi za sanaa hasa musiki

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
58
Kuna ndugu yangu mmoja anatarajia kufanya project itakayotumia muziki wa hapa nyumbani.

Je,ni kwa namna gani anaweza kurejesha mapesa ya wasanii kwa wahusika?

Je, ukiachana na COSOTA ambayo wasanii wenyewe wanailalamikia, kuna chombo chochote kinachoweza kushugulikia maslahi ya wasanii au the best approach ni kuwasiliana na mwanamziki mmoja mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…