AI na Google ni wataalamu zaidi wa hizo lugha na unauliza hivyo wakati hivyo vyama vyenyewe vingine vina majina ya kigeni (Alliance for Change and Transparency ) ingawa ningeweza kumuuliza google afanye translation ila nimepata hofu ya kupoteza maana (lost in translation) ukizingatia hata mifumo hii ya Utawala imekuja na meli...Mbona lugha ya kigeni
Core values za chama tawala zinachekesha sanaAI na Google ni wataalamu zaidi wa hizo lugha na unauliza hivyo wakati hivyo vyama vyenyewe vingine vina majina ya kigeni (Alliance for Change and Transparency ) ingawa ningeweza kumuuliza google afanye translation ila nimepata hofu ya kupoteza maana (lost in translation) ukizingatia hata mifumo hii ya Utawala imekuja na meli...
On Paper vyama vyote lazima vitakwambia Haki na Usawa, ila kwa sasa hata kwenye ideology zao ukiangalia hakuna tofauti kubwa, kwahio ni watu ndio wanawavutia watu kwenda sehemu moja au nyingine na sio ideologies...Core values za chama tawala zinachekesha sana