Karhumanzira Member Joined Oct 19, 2011 Posts 50 Reaction score 9 Jan 21, 2012 #1 Ni binti mdogo wa Snoop aliyezaliwa miaka ya 2000,ameanza vizuri na ngoma yake aliyeiachia mwanzoni mwa october mwaka jana 2011 "Do My Thang",Je atakuja kumdhibiti Willow Smith?
Ni binti mdogo wa Snoop aliyezaliwa miaka ya 2000,ameanza vizuri na ngoma yake aliyeiachia mwanzoni mwa october mwaka jana 2011 "Do My Thang",Je atakuja kumdhibiti Willow Smith?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Jan 21, 2012 #2 Asifuate na nyayo za kuvuta bangi tu.