Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huyu mkuu wa kundi la waasi linaloitwa Congo River Alliance wakiwemo M23 wanaotaka kumng'oa Rais Tshisekedi ndiy aliyekuwa mkuu wa tume ya uchaguzi iliyomuingiza Tshisekedi madarakani mwaka 2018 katika uchaguzi wenye utata unaodaiwa Martin Fayulu ndio alishinda ila Kabila na Tshisekedi wakacheza dili na tume ya uchaguzi kupora ushindi.
Nangaa na Tshisekedi walikuja kukorofishana baadaye baada ya Nangaa kuanza kumpiga Tshisekedi na kutaka kugombea urais mwaka 2023 hadi akapewa kesi ya uhaini ndipo akakimbilia Nairobi Kenya pamoja na kiongozi wa M23 kuunganisha makundi ya waasi kwa mwamvuli wa CRA.
Hapa akiwa kalamba suti enzi hizo anakula maisha serikalini
Hapa baada ya kuvua suti na kuvaa gwanda!