Car4Sale corolla kwa 1.5 mil only

Niliiuza tu kama screpa miaka kadhaa mbele! Maana niliisajili kama taxi (kwa miaka ile taxi zilikuwa bado zinalipa).

Kwa bahati mbaya Mbulukenge niliyemkabidhi, alimpa deiwaka asiye na uzoefu! Na hizo gari zinavutia mbele, hivyo ikiwa haina abiria inayumba kweli kweli ukiendesha spidi ya kuanzia 70 kwenye barabara za vumbi

Akaipigisha mzinga wa ukweli!!
 
vipi alipona??? Hope ulijifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…