Corolla yenye 5A engine ni gari ya namna gani?

Hii sio baby walker? Nauliza tu jamani usije kosana na mwanao nyumbani akiililia ati ni yake.
 
Ukitoa hizo rim
Ukaweka zenye spoke nyingi kidogo itapendeza

Anyway kama walivosema wadau
Engine ni murua



Sema nimependa umeifananisha na harrier😂😂
 
Sasa Boss wangu hii Corolla ndiyo inafanana na Harrier kweli!! Au macho yangu yameanza kupoteza nuru? Anyway, buy it bro.

Kuna raha yake ukitembea huku ukiwa umekaa.
Ukitoa hizo rim
Ukaweka zenye spoke nyingi kidogo itapendeza

Anyway kama walivosema wadau
Engine ni murua



Sema nimependa umeifananisha na harrier[emoji23][emoji23]
Corolla tako la nyani [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…