Corona: Baada ya Ikulu ya Kenya, ofisi za Safaricom, kirusi chavamia kambi za KDF kwa nguvu

Corona: Baada ya Ikulu ya Kenya, ofisi za Safaricom, kirusi chavamia kambi za KDF kwa nguvu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
The invisible enemy COVID - 19 has managed to penetrate the literally impermeable Kenya's defence. 80 soldiers have reportedly tested positive to the fast - spreading virus forcing authorities to place all military barracks across the country under restrictions of movements.

=======

MY TAKE: Bila virusi lakini wanajeshi wa KDF ni goigoi na wazembe, sasa na hiki kirusi itakuwaje? Habari hizi ziwafikie Alshabaab wote popote pale walipo. Hahahaha, Hahahaha.
 
Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.

Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
 
Hata huko Israel kuna Army camp wajeda wengi wamepata corona, USA pia wanajeshi na polisi kibao wameambukizwa Corona, wanajeshi nao ni binadamu na wanakutana na watu mbalimbali na kutumia vifaa mbalimbali.
 
Ugonjwa si jambo la kufurahia hata kama ugonjwa huo utampata adui yako,jaribu kua na roho yakibinadamu,hakuna mwanadamu ajuaye mwisho wa maisha yake utakuaje.
Wacha kujikomba wewe, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walivyotuchafua kwa kutumia hili janga la Corona, hivi unajua ni kiasi gani Wakenya walikua wakisubiria kwa hamu kubwa kuona watanzania tunakufa kwa wingi? Kumbuka walivyokua wakishabikia waliposikia watu wanadondoka na kuukotwa mitaani?
 
Wanajeshi/askari watakaokufa kwa COVID19 watakuwa tayari hawako fit kuwepo jeshini. Sote tunajua ugonjwa huu unawapata watu wengi lakini kwa kiasi kikubwa unaua wazee na wenye magonjwa sugu kama moyo, figo, cancer na kisukari.

Kama mtu ana magonjwa haya, si dhani kwamba jeshini ni mahali pake. Si ajabu hata nchi nyingine nyingi kuna wanajeshi/askari wameambukizwa Corona lakini hawatangazi. Nashangaa kwa nini Kenya wameifanya hii kuwa big news! Au ni njia ya kuwahabarisha wazungu kwamba wanapima watu wengi (mass testing) ili waongezewe misaada/mikopo?
 
Wacha kujikomba wewe, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walivyotuchafua kwa kutumia hili janga la Corona, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walikua wakisubiria kwa hamu kubwa kuona watanzania tunakufa kwa wingi?. Kumbuka walivyokua wakishabikia waliposikia watu wanadondoka na kuukotwa mitaani?
Sijajikomba kwa mtu yeyote,hata hayo waliyoyafanya Kenya kama ni kweli basi pia si jambo la kiungwana.
 
Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya.

Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu.

Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini Wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona.
 
Sijajikomba kwa mtu yeyote,hata hayo waliyoyafanya Kenya kama ni kweli basi pia si jambo la kiungwana.
Basi huna sababu ya kumsema na kumlaumu mwenye kujibu mapigo, kumbuka kwamba, " every action there is an equal reaction".

Wakenya kwa makusudi kabisa wanejipanga kuizalilisha Tanzania na kuichafua duniani kote kwa njia na nguvu zote walizonazo, mfuna wa hivi karibuni ni huu wa kutupakazia kwamba hatujawapigia kura. Lazima tupambane nao kwa nguvu zote hadi watakapojirudi na kuacha roho mbaya zao na wivu kwa Tanzania.
 
Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.

Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
Hizo taarifa huwa hazittangazwi.
Hii ni propaganda kuhadaa ulimwengu wa wafadhiri corona
 
Yaani hawa watu ni wapumbavu sana

Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya

Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu

Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona
Tangu Magufuli ameingia madarakani, Tanzania imekua ikisifika kila kona kutokana na mageuzi makubwa aliyoyafanya, Tanzania ndio imekua ni "Center of focus", katika ukanda huu.

Kitendo cha Uganda kupitisha bomba la mafuta Tanzania, na Rwanda kuunganisha reli yake ya SGR na Tanzania, viliwaumiza sana Wakenya, wakazidisha chuki kwa Tanzania.

Kwa kifupi, Wakenya wanapenda sana kujisifu na kusifiwa, anapotokea mtu au nchi yoyote inayowapa " challenge " hilo linawatesa Sana, sasa hivi wanasubiri kwa hamu kubwa sana Magufuli amalize kipindi chake cha uongozi ili aondoke kwasababu wameshindwa kumdhibiti, amewa- outsmart" kila eneo.

Ikitokea kwamba watanzania wakamuongezea muda wa kuendelea kuwa madarakani, hilo zogo litakalotokea Kenya Kenya, halitokua la kawaida, sababu kubwa ni kutaka aondoke ili tupate rais mzembe.
 
Kweli kabisa, na ndio maana wakenya ndio number 1 kumpinga JPM kuliko hata watanzania wenyewe, huko twitter.com ukisoma comments zao

Na hapa siongelei watu wa kawaida bali verified users kabisa na watu wenye nafasi serikalini huwa wanaonesha feelings wazi wazi kumpinga Magufuli kwenye maeneo ambayo hata hayawahusu

MEDIA zao zimekua na mijadala special kabisa kwa ajili ya kumchambua Magufuli na Siasa za Tanzania na panels za wachangiaji most of the time wamekuwa against Magufuli.

Uzuri ni kwamba JPM anawwaelewa na anaenda nao vizuri japo hawaoneshi kama anawapa attention

Nina amini 2025 JPM atatuachia anaefanana nae, hawezi kuacha mtu atakaekuja kuharibu legacy yake hata siku 1.
 
Yaani hawa watu ni wapumbavu sana

Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya

Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu

Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona
Waliona tunawaaribia kwenye mipango yao ya kuwapiga pesa wazungu kwa kutumia mgongo wa corona kwa sababu Tanzania tumeonesha kuwa corona haina madhara kwa ngozi nyeusi.
 
Back
Top Bottom