joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hata huko Israel kuna Army camp wajeda wengi wamepata corona, USA pia wanajeshi na polisi kibao wameambukizwa Corona, wanajeshi nao ni binadamu na wanakutana na watu mbalimbali na kutumia vifaa mbalimbali.Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.
Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
Wacha kujikomba wewe, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walivyotuchafua kwa kutumia hili janga la Corona, hivi unajua ni kiasi gani Wakenya walikua wakisubiria kwa hamu kubwa kuona watanzania tunakufa kwa wingi? Kumbuka walivyokua wakishabikia waliposikia watu wanadondoka na kuukotwa mitaani?Ugonjwa si jambo la kufurahia hata kama ugonjwa huo utampata adui yako,jaribu kua na roho yakibinadamu,hakuna mwanadamu ajuaye mwisho wa maisha yake utakuaje.
Sijawahi kusikia, unaweza kunipa link au ushahidi katika hili?Hata huko Israel kuna Army camp wajeda wengi wamepata corona,USA pia wanajeshi na polisi kibao wameambukizwa Corona,wanajeshi nao ni binadamu na wanakutana na watu mbalimbali na kutumia vifaa mbalimbali.
Tumia simu yako vizuri, usipende kutafuniwa na wewe ukabaki kumeza tu.Sijawahi kusikia, unaweza kunipa link au ushahidi katika hili?
Sijajikomba kwa mtu yeyote,hata hayo waliyoyafanya Kenya kama ni kweli basi pia si jambo la kiungwana.Wacha kujikomba wewe, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walivyotuchafua kwa kutumia hili janga la Corona, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walikua wakisubiria kwa hamu kubwa kuona watanzania tunakufa kwa wingi?. Kumbuka walivyokua wakishabikia waliposikia watu wanadondoka na kuukotwa mitaani?
Wacha kujikomba wewe, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walivyotuchafua kwa kutumia hili janga la Corona, hivi unajua ni kiasi gani wakenya walikua wakisubiria kwa hamu kubwa kuona watanzania tunakufa kwa wingi?. Kumbuka walivyokua wakishabikia waliposikia watu wanadondoka na kuukotwa mitaani?
Basi huna sababu ya kumsema na kumlaumu mwenye kujibu mapigo, kumbuka kwamba, " every action there is an equal reaction".Sijajikomba kwa mtu yeyote,hata hayo waliyoyafanya Kenya kama ni kweli basi pia si jambo la kiungwana.
Hizo taarifa huwa hazittangazwi.Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.
Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
Tangu Magufuli ameingia madarakani, Tanzania imekua ikisifika kila kona kutokana na mageuzi makubwa aliyoyafanya, Tanzania ndio imekua ni "Center of focus", katika ukanda huu.Yaani hawa watu ni wapumbavu sana
Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya
Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu
Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona
Kweli kabisa, na ndio maana wakenya ndio number 1 kumpinga JPM kuliko hata watanzania wenyewe, huko twitter.com ukisoma comments zaoTangu Magufuli ameingia madarakani, Tanzania imekua ikisifika kila kona kutokana na mageuzi makubwa aliyoyafanya, Tanzania ndio imekua ni "Center of focus", katika ukanda huu.
Kitendo cha Uganda kupitisha bomba la mafuta Tanzania, na Rwanda kuunganisha reli yake ya SGR na Tanzania, viliwaumiza sana Wakenya, wakazidisha chuki kwa Tanzania.
Kwa kifupi, Wakenya wanapenda sana kujisifu na kusifiwa, anapotokea mtu au nchi yoyote inayowapa " challenge " hilo linawatesa Sana, sasa hivi wanasubiri kwa hamu kubwa sana Magufuli amalize kipindi chake cha uongozi ili aondoke kwasababu wameshindwa kumdhibiti, amewa- outsmart" kila eneo.
Ikitokea kwamba watanzania wakamuongezea muda wa kuendelea kuwa madarakani, hilo zogo litakalotokea Kenya Kenya, halitokua la kawaida, sababu kubwa ni kutaka aondoke ili tupate rais mzembe.
Waliona tunawaaribia kwenye mipango yao ya kuwapiga pesa wazungu kwa kutumia mgongo wa corona kwa sababu Tanzania tumeonesha kuwa corona haina madhara kwa ngozi nyeusi.Yaani hawa watu ni wapumbavu sana
Wakenya walikuwa wanatuombea mabaya sana, yaani wakati Magufuli zile directives kuhusu Corona ilikua utafikiri ni vita kati ya Magufuli na Kenya
Kenya walikuwa so personal utafikiri wao sasa ndio Corona, walimdhalilisha sana Rais wetu mitandaoni mpaka ikawa ni national campaign kumdhalilisha Rais, walikuwa wakiweka pictures twitter za vitu vya ajabu pamoja na picture ya Magufuli na kufanya mzaha na dharau ya hali ya juu
Walikuwa wakitamani sana kuona Tanzania tunakufa na waliomba hilo litokee, in short mpaka sasa sijui kwanini wakenya wanaichukia Tanzania kiasi hiki na hilo nimeliona wazi kwenye hii vita ya Corona