#COVID19 Corona: Baada ya Marekani, kwa Urusi nako "ban" Inatuhusu

#COVID19 Corona: Baada ya Marekani, kwa Urusi nako "ban" Inatuhusu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya:

IMG_20211213_200301_767.jpg

Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu:

Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong, Lesotho, Madagascar, Mozambique, Namibia, Tanzania, Eswatini and South Africa

IMG_20211213_194347_266.jpg

Ramaphosa tayari anapumulia mashine. Enyi wandugu au ni mpaka yawakute?

Kwanini nasi tusimle mtu "ban?"

Angalau huyu SA kwa kuanzia isingekuwa mbaya kama sisi tungali salama?

---------
Angalizo: Sakata linaloendelea lenye kuhusisha uhuni na mambo ya msingi linafikirisha.
 
Yani uko all over the place ,mara Ramaphosa,mara ban ,mara mashine..
alafu haya mambo ya kuchukua excerpts chache na kujitengenezea habari yako mwenywe yanakusaidia nn?
 
Yani uko all over the place ,mara Ramaphosa,mara ban ,mara mashine..
alafu haya mambo ya kuchukua excerpts chache na kujitengenezea habari yako mwenywe yanakusaidia nn?

Yananisaidia sana kuwatambua wahuni nyie hapo mlipo.

Kumbe ni uhuni mtupu hamna lolote la maana.

Umeelewa ndugu mhuni uliyeko "at your specific place of your excellency" yaani kwenye uhuni na kutaka kutucheza shere?
 
Yananisaidia sana kuwatambua wahuni nyie hapo mlipo.

Kumbe ni uhuni mtupu hamna lolote la maana.

Umeelewa ndugu mhuni uliyeko "at your specific place of your excellency" yaani kwenye uhuni na kutaka kutucheza shere
huna neurons za kutosha,stop spreading fear porn,,approach za corona haziko uniform,usitake tuamini unachokiamini,mpuuzi ww
 
Wametusaidia kwani sisi ndiyo tulitakiwa kuwapiga ban hao wamerekani, warusi na wazungu wengine. Maambukizi kwao ni ya kiwango kikubwa hususani huko USA juzi wagonjwa wapya walikuwa 150,000 kwa siku na vifo 1,400 kwa siku. Wakija huku watatuletea hilo li Omicron lao. Wabaki huko huko ili tuendelee kuwa salaama.
 
Wametusaidia kwani sisi ndiyo tulitakiwa ban hao wamerekani, warusi na wazungu wengine. Maambukizi kwao ni ya kiwango kikubwa hususani huko USA juzi wagonjwa wapya walikuwa 150,000 kwa siku na vifo 1,400 kwa siku. Wakija huku watatuletea hilo li Omicranon lao. Wabaki huko huko ili tuendelee kuwa salaama.

😁😁

IMG_20211208_171544_599.jpg
 
Wametusaidia kwani sisi ndiyo tulitakiwa kuwapiga ban hao wamerekani, warusi na wazungu wengine. Maambukizi kwao ni ya kiwango kikubwa hususani huko USA juzi wagonjwa wapya walikuwa 150,000 kwa siku na vifo 1,400 kwa siku. Wakija huku watatuletea hilo li Omicron lao. Wabaki huko huko ili tuendelee kuwa salaama.
Ufaransa ilikuwa 100,000 hiyohiyo juzi. Tuchukue tahadhari. Ni vyema kupiga ban Marekani na Ulaya yote.
 
Back
Top Bottom