Yani uko all over the place ,mara Ramaphosa,mara ban ,mara mashine..
alafu haya mambo ya kuchukua excerpts chache na kujitengenezea habari yako mwenywe yanakusaidia nn?
huna neurons za kutosha,stop spreading fear porn,,approach za corona haziko uniform,usitake tuamini unachokiamini,mpuuzi wwYananisaidia sana kuwatambua wahuni nyie hapo mlipo.
Kumbe ni uhuni mtupu hamna lolote la maana.
Umeelewa ndugu mhuni uliyeko "at your specific place of your excellency" yaani kwenye uhuni na kutaka kutucheza shere
huna neurons za kutosha,stop spreading fear porn,,approach za corona haziko uniform,usitake tuamini unachokiamini,mpuuzi ww
Wametusaidia kwani sisi ndiyo tulitakiwa ban hao wamerekani, warusi na wazungu wengine. Maambukizi kwao ni ya kiwango kikubwa hususani huko USA juzi wagonjwa wapya walikuwa 150,000 kwa siku na vifo 1,400 kwa siku. Wakija huku watatuletea hilo li Omicranon lao. Wabaki huko huko ili tuendelee kuwa salaama.
Ufaransa ilikuwa 100,000 hiyohiyo juzi. Tuchukue tahadhari. Ni vyema kupiga ban Marekani na Ulaya yote.Wametusaidia kwani sisi ndiyo tulitakiwa kuwapiga ban hao wamerekani, warusi na wazungu wengine. Maambukizi kwao ni ya kiwango kikubwa hususani huko USA juzi wagonjwa wapya walikuwa 150,000 kwa siku na vifo 1,400 kwa siku. Wakija huku watatuletea hilo li Omicron lao. Wabaki huko huko ili tuendelee kuwa salaama.
Ufaransa ilikuwa 100,000 hiyohiyo juzi. Tuchukue tahadhari. Ni vyema kupiga ban Marekani na Ulaya yote.
Na Zambia, Rwanda, Nigeria, Misri na kwigine.Watalii watatoka Burundi?
Na Zambia, Rwanda, Nigeria, Misri na kwigine.